----
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara,Mwigulu Nchemba amejiuzulu wadhifa huo.
Mwigulu
ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha,ametangaza kujiuzulu nafasu hiyo jana
Jioni katika kikao cha Halmashauri Kuu ya ya Taifa ya CCM,Mjini
Dodoma
Akithibiths
tukio hilo,Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Naoe Nnauye amesema,Mwigulu
ameamua kujiuzulu nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara kutokana na
nia yake ya kutaka kuomba kuwania Urais kwa tiketi ya CCM katika
Uchaguzi utakaofanyika Octoba Mwaka huu
"Mwigulu
alishamwambia nia hiyo Mwenyekiti wa Chama Rais Jakaya
Kikwete,nae Rais akamkubalia, na sasa katika kikao ameomba rasmi
kujiuzulu na Mwenyekiti Rais Jakaya Kikwete amemkubalia Mbele ya wajumbe
wa NEC".amesema Nape
Nape
amesema kufuatia uamuzi wa mwigulu kujiuzulu, Mwenyekiti wa Chama Rais Jakaya
Kikwete amemteua Msaidizi wake wa maswala ya
siasa,Rajabu Ruhavi kuwa Mjumbe wa NEC na Wakati huohuo kamteua kuwa
Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara Kushika nafasi iliyoachwa na Mwigulu
Nchemb