TAARIFA KUUSU ALIKIBA KUTOKA KIMAPENZI NA JOKATE MWEGERO

JOKATWEE
Soudy amesema alipata tetesi za uhusiano wa mastaa wawili Bongo Fleva, wameonekana pamoja sehemu nyingi.. hajawataja majina, lakini akamtafuta Jokate.
Soudy Brown: ‘Unafahamu hata kama Ali Kiba alivamiwa? Ulimpigia simu kumpa pole?‘
Jokate: ‘Kwa nini?‘
Soudy Brown: ‘Aaaah… unauliza kwa nini tena, Ali Kiba si mchumba wako..?‘
Jokate: ‘Haaa haa haa.. Soudy hebu niache kwanza, naumwa.. unanichekesha hapa‘
page 
 
Wataalam wa mambo wamebaini kuwa jokate amewahi vaa kofia ya Alikiba.
Mpaka kufikia hivi sasa hakuna aliyetoa ukweli wa taarifa hizo baina ya Alikiba au Jokate.