Wanachuo wakiwa katika Mahafari ya tatu Zoom Polytechnic Collage & Dan Computer Institute Bukoba Campus Wakiwa na Mgeni rasimi muheshimiwa Hamis Sued Kagasheki mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini akiwa amevalia joho la rangi tofauti na wahitimu wakimuelezea mgeni rasimi kuhusu somo la NETWORKING linavyofanya kazi
HAMSHATZ.BLOGSPORT.COM Group walivyokuwa wakionyesha Igizo lao katika Mahafari ya tatu tarehe 02/05/2015
HAMSHATZ.BLOGSPORT.COM Group walivyokuwa katika Mahafari ya tatu tarehe 02/05/2015 (Mohamed .M. Tirubaza , HATIBU .K. OMARY wakiwa na mzazi wao
HAMSHATZ.BLOGSPORT.COM Group walivyokuwa wakionyesha Igizo katika Mahafari ya tatu tarehe 02/05/2015 (HATIBU .K. OMARY, Mohamed .M. Tirubaza & Shahidu. A. Twaibu ) (means HAMSHA)
Hamshatz.blogsport.com wakiwa kwenye maojiano yanayohusu igizo lao
Hamshatz.blogsport.com wakiwa na marafiki wenzao katika kusherekea sherehe yao
Mr Mohamed .M. Tirubaza kushoto akiwa na rafiki yake Shahidu .A. Twaibu kulia wakiwa katika mahafari yao ya tatu tarehe 02/05/2015
HAMSHATZ.BLOGSPORT.COM Group walivyokuwa wakionyesha Igizo katika Mahafari ya tatu tarehe 02/05/2015 (HATIBU .K. OMARY, Mohamed .M. Tirubaza & Shahidu. A. Twaibu ) (means HAMSHA)
Mr Mohamed .M. Tirubaza